Skip to main content
Skip to main content

Samia Suluhu atangazwa mshindi wa urais nchini Tanzania

  • | KBC Video
    281 views
    Duration: 1:43
    Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametangazwa mshindi wa uchaguzi tata wa urais kwa zaidi ya asilimia 98 ya kura huku wananchi wakiandamana kote nchini mapema wiki hii. Tume ya uchaguzi ya Tanzania ilimtangaza Suluhu wa Chama Cha Mapinduzi CCM kuwa mshindi kwa kura milioni-31.6. Katika kisiwa cha Zanzibar, kinachojitawala ambacho huchagua viongozi wake, mgombea wa CCM Hussein Mwinyi, ambaye ni rais wa sasa, alishinda kwa takriban asilimia 80 ya kura. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive