Samia Suluhu na Emmanuel Nchimbi ni timu ya aina gani?

  • | BBC Swahili
    972 views
    Katika siasa za Chama Cha Mapinduzi (CCM), mojawapo ya maswali ambayo mgombea mwenza wa mgombea urais hutakiwa kujibu ni moja; ni lipi hasa analileta mezani? Kwamba zaidi ya umaarufu wa chama, ni sifa zipi za mgombea mwenza zitaongeza nguvu ya ushawishi, kura na haiba ya mgombea wa urais? Sasa hapa Ezekiel Kamwaga anelezea Samia Suluhu na Emmanuel Nchimbi ni timu ya aina gani? na je Uchaguzi wa Tanzania utakuwa rahisi kiasi gani? 🎥: @frankmavura #bbcswahili #tanzania #CCM Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw