- 3,064 viewsDuration: 2:16Mahakama ya Kibera hapa jijini Nairobi inaendelea kusikiliza kesi ya mauaji ya mwalimu Albert Ojwang huku ikiwanyima dhamana washukiwa sita akiwemo mshukiwa mkuu Samson Talaam. Kesi hiyo sasa imepangiwa kuanza kati ya tarehe 17 hadi 21 mwezi ujao