Skip to main content
Skip to main content

Saratani ya koo imeathiri watu wengi kaskazini mashariki, huku matibabu yakiwa juu sana

  • | Citizen TV
    324 views
    Duration: 3:54
    Ulimwengu unapoadhimisha siku ya ugonjwa wa saratani ulimwenguni, imebainika kuwa kituo cha ugonjwa huo mjini Garissa Kinendelea kunakili idadi kubwa ya wagonjwa wa saratani ya koo sio tu kutoka eneo la Kaskazini Mashariki bali sehemu tofauti nchini hali ambayo wataalamu kwenye kituo hicho wanasema ni ya kutia hofu.