Sauda Abbas: Kocha wa ndoto zilizogeuka huduma, atia fora Lamu | Jungu La Spoti

  • | NTV Video
    91 views

    Sauda Abbas ni kocha ambaye anawakuza wachezaji wa kike wanaopenda kandanda katika kisiwa cha Lamu kaunti ya Lamu. Sauda ambaye alitamani sana kuwa mchezaji wa kimataifa bila mafanikio ndiye anatupambia makala yetu ya Jungu kuu la Spoti Alhamisi hii.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya