Sehemu ya ushuru wa barabara kutumika kulipa deni la umma

  • | KBC Video
    12 views

    Wizara ya fedha inalitaka bunge liidhinishe kutengwa kwa shilingi 12 za ushuru wa ukarabati wa barabara ili kupiga jeki juhudi za serikali za kulipa madeni yake. Kwa sasa, serikali inatenga shilingi 7 za ushuru huo na imeweza kukusanya kima cha takriban shilingi bilioni 62 kutoka kwa wakandarasi wanaodaiwa na mashirika ya usimamizi wa barabara nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive