Sekta ya utalii yakadiria hasara kutokana na maandamano dhidi ya serikali

  • | Citizen TV
    200 views

    Sekta ya utalii inakadiria hasara ya mamilioni ya fedha, kutokana na maandamano dhidi ya serikali. Wakizungumza katika mkutano wa wadau wa sekta ya utalii kaunti ya Kisumu, wadau hao walisema kuwa watalii haswa wa kigeni wameaHirisha mipango yao ikiwemo wale waliokuwa tayari wamefanya malipo kwa ajili ya shughuli za kitalii.