Sekta za afya, maji, barabara na kilimo zapewa umuhimu

  • | Citizen TV
    92 views

    Sekta za afya, maji, barabara na kilimo ni miongoni mwa sekta zilizopewa kipau mbele katika makadirio ya bajeti ya Serikali ya Kaunti ya kwale ya mwaka 2025-2026.