Senata wa Uasin Gishu Jackson Mandago afikishwa mahakamani jijini Nakuru

  • | Citizen TV
    3,911 views

    Senata wa Uasin Gishu Jackson Mandago amefikishwa mahakamani jijini Nakuru kusomewa mashtaka kwenye sakata ya wizi wa billioni moja nukta moja za elimu ya wanafunzi wa kaunti hiyo nchini Finland