Seneta Boni Khalwale kumchukulia hatua za kisheria mfanyibiashara Cleophas Toto kwa kumharibia jina

  • | West TV
    755 views
    Seneta wa kakamega daktari boni khalwale anasema atamchukulia hatua za kisheria mfanyibiashara cleophas shimanyula kwa kile anachotaja kuwa kumchafulia jina yeye na familia yake