Seneta Edwin Sifuna asema kuna njama ya serikali kufutilia mbali vyama vya upinzani

  • | Citizen TV
    4,476 views

    Katibu Mkuu wa chama cha ODM na Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna anataka Serikali kuwajibikia na kutoa pesa za hazina ya ustawishaji maendeleo ya maeneobunge nchini CDF ili kufanikisha elimu kwa watoto wasiojiweza.