Seneta Mandago kulala kwenye kituo cha polisi kaunti ya Nakuru

  • | Citizen TV
    38,148 views

    Seneta wa Uasin Gishu Jackson Mandago usiku wa leo atalala kwenye kituo cha Polisi cha Central mjini Nakuru baada ya kujisalimisha kufuatia sakata ya malipo ya karo ya masomo nchini Finland. Senata Mandago pamoja na wenzake watatu waliohusishwa kwenye sakata hii ya zaodi ya shilingi bilioni moja akitarajiwa kufikishwa mahakamani hapo kesho