Seneta Orwoba azindua mpango wa ukusanyaji na usambazaji visodo

  • | K24 Video
    35 views

    Dunia nzima ikitarajiwa kuadhimisha siku ya usafi wa hedhi hapo kesho, seneta maalum Gloria Orwoba amepiga hatua kubwa kwa kuzindua benki ya visodo maarufu ‘Glo's Pad Bank’, jijini Nairobi, mradi wa kuhamasisha na kuimarisha usafi wa hedhi nchini. Mradi huo unapania kukusanya na kusambaza visodo kwa wasichana kote nchin