Skip to main content
Skip to main content

Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna akariri azma yake ya kuwania urais mwaka wa 2027

  • | NTV Video
    12,764 views
    Duration: 3:01
    Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna amekariri azma yake ya kuwania urais mwaka wa 2027. Sifuna amesema nia ya vuguvugu la Linda Mwananchi ni kumfanya Rais William Ruto kuwa rais wa muhula mmoja na kueleza kuwa watakaporejesha heshima ya utawala wa kisheria nchini. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya