Seneta wa Nandi Samson Cherargey atimuliwa katika Bunge la Seneti

  • | West TV
    61 views
    Seneta wa nandi samson cherargey jumatano hii alijipata nje ya kikao cha asubuhi cha bunge la seneti baada ya juhudi zake za kutaka kumuuliza maswali makali waziri wa uchukuzi kipchumba murkomen kugonga mwamba baada ya spika kumlazimisha kujiondoa kwenye kikao hicho