- 4,497 viewsDuration: 3:22Kamati ya seneti kuhusu uhasibu sasa inamtaka mkaguzi mkuu wa hesabu kutoa taarifa rasmi kuhusu utumizi wa fedha za kaunti ya Mandera. Hii ni baada ya masuali kuibuliwa kuhusu matumizi ya shilingi milioni 449.1 za kaunti hiyo ambazo zilikuwa zimetengewa dharura. Gavana wa mandera aden khalif aliieleza seneti kuwa alitumia fedha hizo kununua chakula cha msaada, kusafirisha maji na kununua mbegu