- 6,691 viewsDuration: 1:47Wakati muziki wa singeli ukizidi kuchanja mbuga kutoka Tanzania na kimataifa kijana @evodmedson ameakufikisha ujumbe wa mahubiri ya Mungu kupitia muziki huo ambao unapendwa zaidi na vijana ndani na nje ya Tanzania Mwandishi wetu @bosha_nyanje amezungumza naye kujua kilichomvutia kutumia maudhui ya singeli kwenye mahubiri yake Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw