Serikali ilitumia 70B pekee kwa miradi ya maendeleo 2023/24

  • | Citizen TV
    246 views

    Serikali ilitumia shilingi bilioni 70 pekee kwa miradi ya maendeleo huku zaidi ya shilingi bilioni 500 zikitumika kwa gharama za kila siku za kuendesha serikali. Msimamizi wa Bajeti Margaret Nyakango ameiambia kamati ya bunge kuhusu fedha kuwa, jumla ya pesa zilizotumika kugharamia shughuli za serikali za kila siku kwa miezi sita ya kwanza ya mwaka wa kifedha wa 2023/24 zilikuwa shilingi bilioni 561.