Serikali imeshauriwa kuwekeza kwa afya ya udongo ili kuimarisha usalama wa chakula nchini

  • | West TV
    9 views
    Wito umetolewa kwa serikali za kaunti na ile ya kitaifa kuwekekeza kwa matumizi bora ya udongo na maji kuwajakikishia wakenya usalama wa chakula siku za usoni.