- 1,312 viewsDuration: 1:28Kamishna wa kaunti ya Mombasa Mohammed Noor aliwaongoza wakazi katika kuadhimisha sherehe za mashujaa, huku akielezea kuwa serikali imetambua mchango wa mrehemu raila Odinga kwa kumtunuku kama shujaa wa hadhi ya juu zaidi nchini.