Serikali imewaonya wafugaji wa kaunti ya Samburu dhidi ya ndoa za utotoni

  • | Citizen TV
    172 views

    Serikali imewaonya wafugaji katika kaunti ya Samburu,dhidi ya kuwaoza Binti zao mapema na badala yake kuwataka kuwapeleka shuleni. Serikali kupitia machifu na viongozi wa nyumba Kumi wanalenga kuendeleza msako mashinani na kuwa yeyote atakaye patikana atatiwa mbaroni.