Serikali inaendeleza mchakato wa marekebisho ya mswada wa biashara ndogondogo

  • | NTV Video
    33 views

    Serikali inaendeleza rasmi mchakato wa kufanya marekebisho mswada wa biashara ndogondogo ya mwaka 2025 unaolenga kuondoa vikwazo vinavyokandamiza ukuaji na maendeleo ya biashara ndogondogo na za kati.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya