Serikali inasema kila kitu kiko tayari kwa mpito wa sekondari ya juu

  • | Citizen TV
    67 views

    Serikali iko tayari kwa mpito wa sekondari ya juu , haya ni kwa mujibu wa waziri wa elimu Julius Migos Ogamba .Akizungumza katika chuo kikuu cha Embu, waziri Migos amesema kuwa mikakati imewekwa kuhakikisha kuwa wanafunzi watakaojiunga na gredi ya kumi Januari mwaka ujao hawakosi masomo