Serikali itashirikisha sekta ya umma na ya kibinafsi kuwezesha ujenzi wa bwawa la Koru-Soin

  • | KBC Video
    11 views

    Serikali inaangazia ushirikiano kati ya sekta ya umma na ile ya kibinafsi ili kuwezesha ujenzi uliokwama wa bwawa la Koru-Soin. Waziri wa habari, mawasiliano na uchumi dijitali Eliud Owalo akizungumza mjini Kisumu, alisema uhaba wa rasilimali hapa nchini umesababisha kutafutwa kwa mbinu mpya za kutekeleza mradi huo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive