Serikali itawalipa fidia wale ambao nyumba zao zilibomolewa kwenye ardhi iliyo kando ya mito

  • | KBC Video
    30 views

    Serikali imeahidi kuwalipa fidia na kuwahamisha wale ambao nyumba zao zilibomolewa kwenye ardhi iliyo kando ya mito kupitia mpango wa kuwatumia fedha wahasiriwa hao, nyumba za gharama nafuu na makazi ya kijamii. Haya yanajiri baada ya waziri wa usalama wa taifa Kithure Kindiki kuagiza kubomolewa kwa majengo na nyumba zilizojengwa kinyume cha sheria kando ya mito jijini Nairobi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News