- 4,540 viewsDuration: 3:02Serikali itawalipia wakenya milioni 2.2 wasiojiweza gharama ya bima ya afya ya jamii - SHA. Rais William Ruto amezindua mpango huo ambao utafaidi familia elfu 558 kote nchini. Rais amesema hatua hiyoinalenga kuhakikisha kuwa kila mkenya anapata huduma bora za matibabu. Na kama anavyoarifu Emily Chebet, watakaofaidika na mpango huo hawatahitajika kulipa chochote hospitalini.