Serikali kuanzisha bima ya kukinga wanachama wa vyama vya ushirika

  • | KBC Video
    31 views

    Vyama vya ushirika vimetahadharishwa dhidi ya kutangaza na kutoa migao visivyoweza kuhimili kwa wanachama kwa lengo la kushindana na vyama vingine vya akiba na mikopo. Kamishna wa vyama vya ushirika David Obonyo amesema kuwa hali hiyo imevifanya vyama vingi vya akiba na mikopo kukumbwa na changamoto za kifedha.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive