Serikali kufungua kambi mpya za polisi Laikipia ili kuimarisha usalama

  • | K24 Video
    108 views

    Waziri wa usalama wa ndani Kipchumba Murkomen ametangaza mpango wa serikali ya kitaifa kufungua kambi za polisi mpya katika kaunti ya laikipia kufuatia mashambulizi ya wezi wa ng’ombe.