Serikali kujumuisha somo la usalama wa barabarani katika CBC

  • | K24 Video
    26 views

    Somo la usalama wa barabarani sasa litajumuishwa katika mtaala mpya wa CBC. mamlaka ya kudhibiti usalama barabarani, NTSA imesema mkakati huo umewezeshwa kwa ushirikiano wa wizara ya barabara na uchukuzi na taasisi ya kuandaa mitaala nchini, KICD, katika juhudi za kuhakikisha usalama wa wanafunzi barabarani kote nchini. haya yamejiri katika kongamano la wadau katika sekta ya usalama wa barabarani lililoongozwa na waziri wa barabara na uchukuzi Kipchumba Murkomen ambaye amekariri wizara yake inafanya kila jitihada kuhakikisha usafiri ni salama nchin