Skip to main content
Skip to main content

Serikali kulipa faini ya Ksh 25B kwa madeni yaliyosalia

  • | Citizen TV
    955 views
    Duration: 1:47
    Mdhibiti wa bajeti margaret nyakango sasa anasema kuwa kukataa kwa serikali kuu kulipa madeni kwa wanakandarasi kumevutia faini kubwa na wakenya watalazimika kulipa faini ya zaidi ya shilingi bilioni 25. Katika ripoti yake, nyakang'o amesema kuwa wizara ya barabara imepata faini kubwa zaidi kuliko wizara na idara nyingine zote za serikali.