Skip to main content
Skip to main content

Serikali kununua ardhi Angata Barikoi kumaliza mizozo ya jamii

  • | Citizen TV
    378 views
    Duration: 1:16
    Rais William Ruto sasa anasema kuwa serikali itanunua ardhi katika eneo la Angata Barikoi ili kuzipa makazi jamii ambazo zimekuwa zikizozania ardhi hiyo. Ruto amesema ekari 1,500 zitatengewa jamii hizo huku walioondolewa kwenye msitu wa mau wakipata makazi katika ardhi ya Chelugut