Serikali kutenga asilimia 20 ya nyumba za bei nafuu kwa Polisi

  • | Citizen TV
    1,597 views

    Rais William Ruto sasa anasema kuwa serikali itatenga asilimia 20 ya nyumba za bei nafuu kwa ajili ya kuwapa wanajeshi, maafisa wa polisi na vijana walioko katika taasisi ya huduma kwa vijana NYS pamoja na maafisa wa magereza nafasi ya kununua na kumiliki nyumba nchini.