Serikali kutumia Ksh. 7b kila mwaka kununua vifaa vya kisasa kutumiwa kuwatambua wahalifu

  • | Citizen TV
    823 views

    imetimiza asilimia sabini ya malengo yake eneo hilo. Haya ni kwa mujibu wa wazara ya usalama Profesa Kithure Kindiki. Akizungumza huko Baringo baada ya kukagua ujenzi wa vituo vya usalama, waziri kindiki pia amesema kuwa serikali inapania kutumia shilingi bilioni saba kila mwaka kununua vifaa vya usalama ya kisasa ili kupambana na ugaidi na kero ya wizi wa mifugo eneo la bonde la ufa. Kindiki amesema vifaa hivyo vitatumiwa kuwakinga maafisa katika maeneo hatari ili kusitisha maafa ya polisi.