Serikali kutumia teknolojia kuangazia maswala ya maji nchini

  • | Citizen TV
    178 views

    Katika hatua ya kushughulikia changamoto za muda mrefu za upatikanaji wa maji, Kenya inatumia teknolojia na ubunifu kutoka sekta ya umma na binafsi ili kubadilisha hali.