9 Mar 2026 1:11 pm | Citizen TV 914 views Duration: 50s Mamlaka ya kitaifa ya usalama barabarani imetangaza kuanza kutekelezwa kwa faini ya papo hapo kwa madereva wanaovunja sheria za barabarani na magari yasiyo na vibali vinavyopaswa.