Serikali kuzindua kampeni ya kupambana na pombe haramu wiki ijayo

  • | KBC Video
    55 views

    Naibu Rais, Rigathi Gachagua sasa amesema kuwa serikali itaweka mikakati madhubuti ya kukomesha uuzaji wa pombe haramu na mihadarati kuanzia wiki ijayo. Gachagua amesema kuwa hali haitakuwa ya kawaida kwa wafanyabiashara wa pombe hiyo haramu, biashara ambayo imesababisha vifo vya Wakenya wasio na hatia.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive