Serikali na madaktari wawasilisha mikataba kortini

  • | Citizen TV
    835 views

    Mahakama imewapa serikali na madaktari wanaogoma siku mbili kuafikia mkataba wa maelewamo kusitisha mgomo wa madaktari ulioendelea kwa siku ya 54 hii leo. Hii ni baada ya pande zote kuwasilisha stakabadhi mahakamani hii leo kama ilivyoagizwa.