Skip to main content
Skip to main content

Serikali, SHA na KNUT wafikia makubaliano kuhusu bima ya afya ya walimu

  • | Citizen TV
    243 views
    Duration: 1:40
    Hatimaye Wizara ya Afya, Mamlaka ya SHA na Chama cha Walimu KNUT zimeafikiana kufuatia mvutano ulioibuka kuhusu bima ya afya ya SHA kwa walimu. Mkutano wa pande husika umetangaza mabadiliko muhimu ya kuboresha upatikanaji wa huduma za afya kwa walimu na kuondoa changamoto zilizoibuka.