Serikali ya kaunti ya Garissa yaanza mikakati ya kukamilisha miradi ya ujenzi wa soko zilizokwama

  • | Citizen TV
    247 views

    Serikali ya kaunti ya Garissa imeanza mikakati ya kukamilisha miradi yote ya ujenzi wa soko zilizokwama kwa madhumuni ya kupanua malengo yake ya ukusanyaji ushuru.