Skip to main content
Skip to main content

Serikali ya kaunti ya Homa Bay imeanza mchakato wa kujenga madarasa ya kisasa

  • | Citizen TV
    154 views
    Duration: 2:37
    Serikali ya kaunti ya Homa Bay imeanza mchakato wa kujenga madarasa ya kisasa ili kuinua hali ya elimu ya chekekea. Wanafunzi wengi wamekuwa wakisomea katika mazingira duni shuleni huku hali mbaya ya miundomsingi ya shuel za chekechea ikitatiza masomo.