Serikali ya kaunti ya Kilifi yaanza kujenga barabara katika eneo la Kijiwetanga

  • | Citizen TV
    146 views

    Huenda shughuli za utalii na usafirishaji wa bidhaa mbali mbali sokoni katika eneo la Kijiwetanga kaunti ya Kilifi sasa zikaimarika, kutokana na ujenzi wa barabara inayounganisha eneo la Jacaranda na Kijiji hicho cha Kijiwetanga.