Skip to main content
Skip to main content

Serikali ya kaunti ya Kirinyaga yataka kila msichana asalie shuleni

  • | Citizen TV
    156 views
    Duration: 2:01
    Serikali ya kaunti ya Kirinyaga imezindua kampeni ya kusambaza sodo katika taasisi za elimu za kaunti hiyo ili kuwawezesha wasichana kusalia shuleni wakati wa hedhi. Kulingnana takwimu za kaunti hiyo, wasichana watatu kati ya kumi hukosa kuhudhuria masomo wakati wa hedhi. Wanafunzi wa kike 3,173 kutoka shule 20 walipokea sodo hizo kwenye awamu ya kwanza ya zoezi hilo.