- 170 viewsDuration: 52sWizara ya Afya katika Kaunti ya Kitui imebaini kuwa kuna viwango vya juu vya saratani ya mlango wa kizazi, ikifuatiwa na saratani ya matiti na kisha saratani ya tezi dume. Naibu Mkurugenzi katika sekta ya afya ya umma Kaunti ya Kitui, Faith Mutinda, amewahimiza wanaume pia kujitokeza kupimwa saratani ya matiti.