1 Oct 2025 1:35 pm | Citizen TV 101 views Duration: 1:10 Serikali ya kaunti ya Kitui imeanzisha zoezi la kuendelea kuongeza idadi ya zahanati katika kila Kijiji ili wanainchi wapate huduma za matibabu karibu nao.