Serikali ya kaunti ya Kwale yatoa zabuni kwa kampuni nne za wanawake

  • | Citizen TV
    68 views

    Gavana wa Kwale Fatuma Achani ametoa zabuni tatu kwa makundi manne ya kina mama ya Lutuma , Hatua kwa Hatua ,Dorjuflo na Jitegemee za thamani ya shilingi milioni 4.5 eneo la kusini Kubo huko Matuga.