Serikali ya kaunti ya Lamu kuanza rasmi mafunzo ya uuguzi katika chuo cha mafunzo cha KMTC

  • | Citizen TV
    85 views

    Serikali ya kaunti ya Lamu ikishirikiana na chuo cha mafunzo cha KMTC inalenga kuanzisha rasmi mafunzo ya uuguzi katika chuo cha KMTC cha Mokowe ili kuboresha huduma za matibabu kwa wakaazi wa Lamu. Kituo hicho kitaongeza idadi ya wafanyakazi wa afya sehemu za nyanjani.