Serikali ya kaunti ya Makueni yazindua mradi wa kawi ya jua wote

  • | Citizen TV
    67 views

    Hospitali ya rufaa ya Makueni inatarajiwa kunufaika pakubwa na mradi wa kawi ya jua utakaozinduliwa na gavana wa makueni Mutula Kilonzo junior. Kulingana na Mutula, zaidi ya shilingi milioni saba ambazo hutumika kulipa gharama ya umeme kila mwaka, zinatarajiwa kuelekezwa kwenye huduma nyingine za hospitali hiyo.