Serikali ya kaunti ya Makueni yazindua mtandao wa huduma za afya

  • | Citizen TV
    250 views

    Serikali ya makueni imezindua mtandao wa kidijitali unaojulikana kama AFYA MAKUENI unaotarajiwa kuboresha huduma za afya katka hospitali zote za level 4 kwenye kaunti hiyo. Michael Mutinda anaarifu zaidi kutoka Makueni.