1 Oct 2025 10:40 am | Citizen TV 202 views Duration: 58s Serikali ya makueni imezindua sera ya kawi ya mwaka wa 2025 inayolenga kuhakikisha wakazi wa kaunti hiyo wanatumia kawi safi .