- 124 viewsDuration: 1:19Wakazi wa mji wa Migori wanatarajiwa kukumbwa na ukosefu wa muda mrefu wa maji baada ya serikali ya kaunti kutaja changamoto za kifedha la kulipa bili za maji. Kulingana Waziri wa Maji Kaunti ya Migori Silas Owuor, Kampuni ya Maji na Usafi wa Mazingira ya Migori (MIWASCO), inadai serikali ya kaunti takriban shilingi milioni 54 katika bili ambazo hazijalipwa..